25.11.2013

kenya yetu


Jambo Bwana! 

Jambo bwana
Habari gani?
Mzuri sana
Wageni wakaribishwa
Kenya yetu
Hakuna matata

Kenya nchi nzuri
Nchi ya maajabu
Nchi ya kupendeza

Hakuna matata 
Kenya yetu
Hakuna matata
Kenya wote

Brak komentarzy:

Prześlij komentarz